Tshishimbi kutoka unahodha wa Yanga hadi Kitayose Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2021
Tshishimbi kutoka unahodha wa Yanga hadi Kitayose Fc

Nahodha wa zamani wa Yanga Papy Tshishimbi amesajiliwa na Kitayose Fc ya Tabora inayoshiriki Championship akiwa mchezaji huru

Msimu uliopita Tshishimbi aliitumikia AS Vita, lakini timu hiyo ikaachana nae mwishoni mwa msimu

Yussuf Kitumbo ambaye ni mlezi wa Kitayose na Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora amethitisha kuwa timu hiyo imemsajili Tshishimbi na winga wa zamani wa Simba Deo Kanda

Yanga iliachana na Tshishimbi mwishoni mwa msimu wa 2019/20 baada ya mchezaji huyo kutaka fedha zaidi nje ya makubaliano ambayo uongozi ulikuwa umeafikiana nae awali

Yanga wakamsajili Zawadi Mauya kuchukua nafasi yake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’