FT : Mlandege Fc 0-1 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Nov 2021
FT : Mlandege Fc 0-1 Yanga

Yanga imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi zake baada ya kuichapa Mlandege Fc bao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Amaan

Vijana wa Mlandege walitoa upinzani mkali kwa Yanga hasa kwenye kipindi cha kwanza

Hata hivyo Yanga ilirejea ikiwa imara zaidi katika kipindi cha pili na walifanikiwa kufunga bao pekee la ushindi kwenye dakika ya 50 kupitia kwa mshambuliaji Heritier Makambo ambaye alimalizia mpira uliopigwa na Fiston Mayele ambao uligonga mwamba kabla ya kukutana na Makambo

Yanga inaendelea kubaki visiwani Zanzibar ambapo Ijumaa watashuka tena uwanja wa Amaan kuikabili KMKM

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’