Makambo, Mayele inaweza kuwa pacha hatari

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Nov 2021
Makambo, Mayele inaweza kuwa pacha hatari

Jana Heritier Makambo alifunga bao pekee la Yanga kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege uliopigwa visiwani Zanzibar

Mchezo huo ni sehemu ya shamrashamra za mwaka mmoja wa Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi

Makambo alifunga bao hilo akimalizia mpira uliogonga mwamba uliopigwa na Fiston Mayele

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi aliwaanzisha washambuliaji hao pamoja, ikiwa ni nadra sana kufanya hivyo

Nabi anapendelea zaidi kutumia mshambuliaji mmoja mbele, Mayele akiwa ndio chaguo la kwanza

Mayele ni mshambuliaji hatari ambaye mikimbio yake inatengeneza nafasi nyingi, pengine akiongeza umakini kwenye umaliziaji anaweza kufunga mabao mengi

Akianza na Mayele, Makambo anaweza kuwa na kazi rahisi ya kumalizia tu kama alivyofanya jana kwenye mchezo dhidi ya Mlandege Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’