Wanajeshi wavamia kambi ya Stars Madagascar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Nov 2021
Wanajeshi wavamia kambi ya Stars Madagascar

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) mapema leo limethibitisha kuwa Wanajeshi wa Madagascar wakiwa na silaha za moto, walivamia kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania katika Mji wa Antananarivo muda mchache kuelekea mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kombe la Dunia

Wanajeshi hao wanadai kuwepo kwa baadhi ya wachezaji wa Tanzania wanaodaiwa kuwa na maambukizi ya covid-19

Wachezaji wanaotajwa katika sakata hilo ni mlinda lango Aishi Manula, Bakari Nondo Mwamnyeto na nahodha Mbwana Samatta

Wachezaji wote walipimwa hapa Tanzania na hakuna aliyekuwa na maambukizi ya covid!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’