Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa tajiri wa mpira, Gharib Said Mohammed 'GSM' mmoja wa wadhamini wa klabu ya Yanga
Huwezi kuzungumzia furaha ya Wananchi msimu huu pasipo kutaja jina la huyu Mwamba
Uwekezaji mkubwa uliofanyika kwenye usajili na maboresho ya timu ikiwa ni pamoja na benchi la ufundi, 'mkwanja' wote umetoka kwa huyu tajiri!
Yanga sasa iko kwenye kipindi cha mpito kuelekea katika mfumo mpya wa Uwendeshaji, baada ya mchakato wa Mabadiliko kukamilika. Gharama zote za mchakato huo, amezisimamia
Kwa hakika Wananchi wanaposema wana watu, wanamaanisha!
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake!
HAPPY BIRTHDAY GSM...!
ADVERTISE HERE