Nabi alia na uwanja wa Ilulu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2021
Nabi alia na uwanja wa Ilulu

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi pamoja na kuwapongeza Namungo Fc kwa mchezo mzuri leo, Nabi amelalamika kuwa uwanja wa Ilulu ulikuwa tatizo kwa wachezaji wake

Akizungumza baada ya mchezo huo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1, Nabi alisema Namungo Fc waliwapa upinzani mkali lakini uwanja nao uliwakwamisha

"Sisemi kama tumeshindwa kupata ushindi kwa sababu ya ubovu wa uwanja, lakini hatukuweza kuwa bora katika mchezo wetu kwani haikuwa rahisi kwa wachezaji wangu kupiga pasi"

"Nawapongeza Namungo walijipanga, wamepambana, sisi tunarudi kufanyia kazi mapungufu yaliyojitokeza ili tuwe bora zaidi katika mchezo unaofuata," alisema Nabi

Baada ya mchezo huo, mchezo unaofuata ni dhidi ya Mbeya Kwanza na utapigwa kwenye uwanja wa Sokoine Novemba 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
59m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’