Makosa ya waamuzi ni haki yawanufaishe wengine lakini sio Yanga?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Nov 2021
Makosa ya waamuzi ni haki yawanufaishe wengine lakini sio Yanga?

Katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold, Yanga walifunga mabao mawili halali kabisa lakini yalikataliwa na mwamuzi

Lakini matukio yale hayakuwa na mjadala mkubwa kama ulioibuliwa jana baada ya Yanga kusawazisha bao kupitia mkwaju wa penati wenye utata katika mchezo dhidi ya Namungo FC

Wale wale wanaosimamia mjadala huo ni walewale ambao hivi karibuni walianzisha mjadala wa Fair Competition baada ya mchezo kati ya Simba dhidi ya Namungo FC!

Hawa waamuzi ni binadamu, wakati mwingine wanafanya makosa kwa kuwa hawana nafasi ya pili kujisahihisha pale wanapoamua, labda tuletewe VAR

Matukio haya yanatokea kote duniani na yataendelea kutokea, kwa kuwa waamuzi ni binadamu, Kwa nchi zilizoendelea matumizi ya VAR yamepunguza kidogo

Hivi wamesahau msimu uliopita kilichotokea kwa Yanga katika mchezo dhidi ya hawa hawa Namungo uliopigwa uwanja wa Majaliwa?

Yacouba Songne alifunga bao halali kabisa lakini lilikataliwa katika mazingira tatanishi

Hii mijadala itaendelea kuwepo sana kwa sababu matukio haya yataendelea kujitokeza kwani hawa waamuzi ni sio malaika...!

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’