Manara anauliza nchi isimame sasa au tusubiri?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2021
Manara anauliza nchi isimame sasa au tusubiri?

Jana watani walifanya Mkutano wao Mkuu wa mwaka lakini ajenda kubwa katika Mkutano huo ikawa ni Yanga na zaidi yule mchezaji yuleeeee wakidai kuwa wamejipanga kumrudisha

Maneno yamekuwa mengi, lakini jambo la uhakika ni kuwa kiungo huyo atarejea nchini dirisha dogo

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Haji Manara amedokeza jambo, sasa Wananchi tusubiri wakati mwafaka!

Si mnakumbuka ile kauli ya Rais Mstaafu Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete katika Kubwa Kuliko mwaka juzi?

"Wakiwachukulieni mchezaji msihangaike nao, nanyi tafuteni wa kumchukua kwao!"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’