Ni WanaYanga waliotoa rambirambi kwa kocha Lwandamina, Mwanaspoti wameteleza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2018
Ni WanaYanga waliotoa rambirambi kwa kocha Lwandamina, Mwanaspoti wameteleza
Katika habari iliyopo katika ukurasa wa pili wa gazeti la Mwanaspoti la leo, Jumatatu 15/01/2018, aya 3 za Mwisho ameandika "Mashabiki mbalimbali wa Simba kupitia mitandao ya kijamii siku ya Jumamosi wamempa pole Kocha Lwandamina kwa msiba wa mwanae pamoja na kumpatia Ubani wa Tsh. 3 milioni."

Mwenyekiti wa Umoja wa WanaYanga kupitia mitandao ya kijamii, Robert Kasela amelaani habari hiyo inayopotosha ukweli wa jambo hilo.

"Huku ni kuwakosea heshima mashabiki wa Yanga ambao kwa umoja wao ndiyo waliompa kocha wa timu yao pendwa Ubani huo, kupitia michango ya group za WhatsApp," amesema

"Nichukue nafasi hii kuwaomba wanayanga wote kulaani vikali upotoshwaji huu wa makusudi wenye lengo la kuchafua heshima ya klabu, wanachama na mashabiki wa Yanga."

Gazeti la Mwanaspoti wanapaswa kusahihisha habari yao tukiamini huenda likawa ni kosa la kiuandishi 'typing error'

Na hilo huenda limesababishwa na 'mahaba' binafsi ya mwandishi wa habari hiyo KHATIMU NAHEKA kwa klabu ya Simba!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’