Winga wa zamani wa Yanga Saimon Msuva leo alitembelea kambi ya klab ya Yanga Avic Town, Kigamboni kushuhudia mazoezi ya mabingwa hao wa kihistoria
Msuva ni zao la klabu ya Yanga, kiwango bora alichoonyesha wakati yuko na Wananchi kilimpatia nafasi ya kusajiliwa na Difaa El Jadida na msimu uliopita akasajiliwa na mabingwa wa Morocco, Wydad Athletic







ADVERTISE HERE