Mamia ya Mashabiki wa Yanga wamejitokeza kwa wingi uwanja wa Ndege wa Songwe kuipokea timu yao inayowasili mkoani humo
Jumanne, Novemba 30 Yanga itashuka kwenye uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya Kwanza
Yanga tayari imeondoka jijini Dar es salaam





ADVERTISE HERE