Teacher yuko imara kama chuma!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Dec 2021
Teacher yuko imara kama chuma!

Jana Wananchi wamedhihirisha wako imara kama timu baada ya kuonyesha kiwango bora katika mchezo dhidi ya Mbeya Kwanza na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sokoine

Katika kikosi kilichoanza mchezo huo, kilikuwa na mabadiliko ya wachezaji watano

Yacouba Songne, Jesus Moloko, Khalid Aucho, Yannick Bangala na Kibwana Shomari walikosekana nafasi zao zikichukuliwa na Saido Ntibazonkiza, Deus Kaseke, Zawadi Mauya, Mukoko Tonombe na David Bryson

Wengi walikuwa na mashaka kwenye eneo la kiungo baada ya Aucho na Bangala kukosekana lakini ubora aliouonyesha Mukoko kwenye mchezo huo ni wazi amerejesha imani ya mashabiki kwake

Mukoko aliuanza taratibu msimu huu lakini amefanya kazi kubwa kwenye vyumba vya mazoezi, sasa yuko imara kama chuma!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’