Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mbeya Kwanza jana, kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Mbeya kurejea jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo unaofuata
Ni Disemba 11 pale uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga watakuwa wageni wa Simba katika mchezo wa kwanza wa dabi kwenye ligi msimu huu



ADVERTISE HERE