Wakati utafika, nitafunga mabao - Makambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Dec 2021
Wakati utafika, nitafunga mabao - Makambo

Mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo amesema ufinyu wa muda wa kucheza umepelekea kutong'ara kwenye ligi mpaka sasa

Hata hivyo amesema anaamini wakati wake utafika, mashabiki waendelee kuwa na imani nae

Tangu kuanza kwa msimu huu Makambo amefunga mabao mawili katika michezo ya kirafiki ambapo kwenye michezo sita aliyopata nafasi ya kucheza kwenye ligi, hajaweza kufunga bao

Ubora alionao Fiston Mayele unampa wakati mgumu Makambo kupata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza

"Kila kitu kina wakati wake kwa sasa nina amini kwamba nitafunga muda wangu ukifika na nitafanya vizuri lakini ninachofurahi ni kwamba timu inapata matokeo. Najua mashabiki wanahitaji kuona nikifunga, muda bado nitafunga tu ni jambo la kusubiri,muda ukifika nitafunga," alisema Makambo

Katika msimu wake wa mwisho kabla ya kutimkia Horoya Ac Makambo alifunga mabao 22 katika mashindano yote

Ni maoni ya mashabiki wengi waliopendekeza mshambuliaji huyo kurejeshwa na GSM

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’