Jumamosi ya wiki hii, Disemba 11 2021 mchezo wa kwanza wa dabi ligi kuu ya NBC unapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Simba watakuwa wenyeji katika mchezo huo dhidi ya Yanga
Viingilio vimetangazwa ambapo Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B ni Tsh 20,000/- na VIP C ni Tsh 15,000/-, Viti vya blue na machungwa ni Tsh 7,000/-
Mchezo utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni
ADVERTISE HERE