Yanga yaweka hadharani usajili wa kwanza

Admin By Admin
β€’
14 Jun 2017
Yanga yaweka hadharani usajili wa kwanza
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wamekamilisha usajili wa Abdallah Haji Shaibu aliyetokea timu ya Taifa ya Jangombe.

Shaibu amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga.

Japo jina lake si maarufu sana, Shaibu alikuwa mmoja wa wachezaji nyota wa kikosi cha Taifa ya Jan'gome

Mlinzi huyo wa kati aliyen'gara na kikosi cha Wazanzibar hao anakuwa mchezaji wa kwanza kutangazwa rasmi kusajiliwa na Yanga.



Yanga imekuwa kimya kwenye zoezi la usajili huku Katibu wake Mkuu Charles Mkwassa akibainisha kuwa tayari imeshasajili wachezaji watatu lakini inasubiri dirisha la usajili lifunguliwe ndiyo waweke majina hadharani
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’