GSM kudhamini kombe la Mapinduzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Dec 2021
GSM kudhamini kombe la Mapinduzi

Kampuni ya GSM Afrika imethibitisha kuwa katika mazungumzo na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) ili kudhamini michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Januari 02 2022, visiwani Zanzibar

GSM ndio Wadhamini wa ligi kuu ya Zanzibar, pia wakiwa wadhamini wenza wa ligi kuu ya Tanzania Bara sambamba na NBC

Timu nne kutoka Tanzania Bara zimealikwa kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi itakayoshirikisha timu 10

Timu hizo ni mabingwa watetezi Yanga, Azam Fc, Simba na Namungo Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’