Wachezaji wanaitaka kweli dabi - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2021
Wachezaji wanaitaka kweli dabi - Kaze

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedrick Kaze amesema wana matumaini makubwa watapata ushindi kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Kaze amesema kwa takribani wiki moja wamekuwa wakijiandaa na mchezo huo na ameona morali ya wachezaji ilivyo juu

Kocha huyo raia wa Burundi amesema sio suala la kushinda tu, lakini wamepania kucheza kandanda safi kuwapa burudani mashabiki wao

"Nakuhakikishia tutacheza mpira mzuri na tutashinda kwani vijana wako vizuri na morali ni ya juu sana na kubwa kuliko vyote wachezaji wanaitaka hiyo mechi, tuombe uzima tu," alisema Kaze

Wakati wapinzani zao Simba wakiendelea kuvutana na TFF kuhusu nembo ya GSM, Wananchi wanawasubiri kuwaonyesha kazi pale uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’