Tupo tayari kwa dabi - Fei Toto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2021
Tupo tayari kwa dabi - Fei Toto

Kiungo fundi wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' amesema leo ni siku muhimu kuwapa furaha mashabiki wao katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya watani zao Simba utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni

Feisal amesema kwa wao wachezaji ni heshima kubwa kwao kushiriki mchezo huu na wako tayari kupambana wakiwa na malengo ya kushinda mchezo huo ili kuwapa furaha mashabiki wao

Fei Toto aliyefunga mabao matatu na kutoa pasi mbili za mabao msimu huu, amewataka mashabiki wa Yanga waitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa kuwapa sapoti

"Siku zote ni furaha na heshima kucheza derby, ni mchezo muhimu kwetu na tupo tayari kupambana lengo likiwa ni moja, kuwapa furaha wananchi, mungu atuwezeshe hilo, Amin"

"Wingi wenu na sapoti uwanjani ni muhimu mjae kwa wingi sana...!," alisema Feisal

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’