Tulihitaji alama tatu, tumepata moja

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2021
Tulihitaji alama tatu, tumepata moja

Kiungo maestro Khalid Aucho amewashukuru mashabiki wa Yanga kwa kujitokeza kwa wingi kuwaunga mkono katika mchezo dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa na kumalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Aucho amesema waliingia kwenye mchezo huo wakiwa na malengo ya ushindi lakini wamejaaliwa kupata alama moja, wanashuru kwa walichokipata

Aucho ambaye alikuwa na mchezo mzuri katika eneo la kiungo kama ilivyo kawaida yake, amesema wanajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata

"Tunamshukuru Mwenye ez Mungu kwa kutuwezesha kupata alama moja, pia tunawashukuru mashabiki wetu kwa kujitokeza kwa wingi kutuunga mkono leo"

"Tulihitaji kuwapa matokeo ya ushindi lakini tunashukuru kwa tulichokipata. Tunajipanga kwa ajili ya mchezo unaofuata hii ni ligi sio fainali," alisema Aucho

Baada ya mchezo huo, mchezo unaofuata ni kombe la FA raundi ya tatu dhidi ya Ihefu Fc ambao utapigwa Disemba 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’