Huyu Kibwana ameshindikana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2021
Huyu Kibwana ameshindikana

Jana Kibwana Shomari aliendelea kudhihirisha thamani yake katika kikosi cha Yanga kwa kuonyesha kiwango bora kwenye mchezo dhidi ya Simba ambao ulimalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Kijana huyo mdogo jana alibadilishiwa watu watatu katika nafasi yake, lakini wote waligonga mwamba

Alinza Kibu Denis, akatolewa baada ya kushindwa kufua dafu, akaletewa Bernard Morrison akashindwa na mwisho akaletewa Yusufu Mhilu

Kibwana amekomaa hasa na sasa hizi dabi kwake zimekuwa ni mechi za kawaida

Tabia ya kuwadhibiti wale wachezaji wao tegemeo hakuianza leo, kazi hiyo ameifanya kuanzia msimu uliopita

Kibwana ni mmoja wa wachezaji wa Yanga waliopata alama nyingi kwa kuonyesha kiwango bora katika mchezo huo ulioiacha Yanga ikiendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 20

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’