Wachezaji Shabani Djuma, Yannick Bangala na Mukoko Tonombe wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo kinachotarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Burkina Faso
Nyota hao kutoka kikosi cha Yanga ni miongoni mwa wachezaji 26 waliojumuishwa katika kikosi hicho kinachotarajiwa kuweka kambi Abu Dhabi
Ni heshima kubwa kwa Yanga kutoa wachezaji watatu katika timu ya Taifa ya DR Congo, nchi iliyosheheni maelfu ya wachezaji wanaosakata kabumbu barani Ulaya

ADVERTISE HERE