Lema karudi Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Dec 2021
Lema karudi Yanga Princess

Yanga imemrejesha Edna Lema kuendelea na majukumu yake ya kukinoa kikosi cha timu ya Wanawake, Yanga Princess

Edna aliomba kujiuzulu baada ya msimu wa 2020/21 kumalizika, akienda kujiendeleza kimasomo

Amefuzu masomo na kupata leseni B ya ukocha inayotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF)

Baada ya mazungumzo na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM, Injinia Hersi Said, Edna amekubali kurejea katika majukumu yake

Sasa ana kazi ya kuiandaa Yanga Princess kabla ya msimu mpya wa ligi kuu ya Wanawake kuanza wiki ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’