Siku nzuri kwa Zawadi Mauya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2021
Siku nzuri kwa Zawadi Mauya

Achana na shoo ya Khalid Aucho ambaye kwake sasa imekuwa kawaida kuzungumzwa kila baada ya mechi kutokana na ubora wake, leo katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, Zawadi Mauya alikuwa bora sana

Umakini, utulivu na uwezo mkubwa wa kupiga pasi za mbele, unamfanya Mauya kuwa kiungo mbadala mbele ya Mukoko Tonombe

Alikuwa bora pia katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Ihefu Fc ambao Yanga ilishinda mabao 4-0

Kama ataendelea kucheza katika kiwango hiki, ni wazi mambo yatazidi kuwa magumu kwa Mukoko ambaye anaonekana kupoteza nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’