Yanga kushusha mrithi wa Kabwili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2021
Yanga kushusha mrithi wa Kabwili

Uongozi wa Yanga unatarajiwa kusajili mlinda lango mwingine ambaye ataweza kuwapa changamoto Djigui Diarra na Erick Johora baada ya kuachana na Ramadhani Kabwili

Miongoni mwa walinda lango wanaotajwa kuwa katika rada za Yanga ni Aboutwalib Mshery kutoka klabu ya Mtibwa Sugar

Akiwa na umri wa miaka 21, Mshery amedhihirisha ubora wake akiwa mlinda lango namba moja wa Mtibwa tangu msimu uliopita

Mwezi Januari 2022 Yanga itakosa huduma ya mlinda lango wake namba moja Djigui Diarra ambaye ataelekea Cameroon kushiriki michuano ya Afcon 2021 akiwa na kikosi cha Mali

Djigui hatakuwepo nchini kwa takribani mwezi mmoja pamoja na kuwa ligi itasimama mwanzoni mwa mwaka kupisha michuano ya kombe la Mapinduzi itakayofanyika visiwani Zanzibar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’