Sureboy kusaini miaka miwili Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2021
Sureboy kusaini miaka miwili Yanga

Aliyekuwa kiungo wa Azam Fc, Salum Abubakari 'Sureboy' anajiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili

Wakala wa Sureboy Herry Mzozo amethibitisha kuwa tayari wamefikia makubaliano na uongozi wa Yanga ambao mteja wake atajiunga na mabingwa hao wa kihistoria, atasaini mkataba wa miaka miwili

"Kama mlivyosikia, Azam Fc wameridhia kuvunja mkataba wa Sureboy baada ya kuitumikia timu hiyo kwa muda mrefu. Hakuna siri tena, Sureboy anajiunga na Yanga, mazungumzo yamekamilika na atasaini mkataba wa miaka miwili," alisema Mzozo

Katika hatua nyingine, Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema kabla ya mchezo dhidi ya Biashara United ambao utapigwa Disemba 26, watatangaza usajili wa nyota wapya

"Michakato yote ya usajili inakwenda vizuri, pengine kabla ya mchezo wetu dhidi ya Biashara United, kuna jambo litatokea," alisema Bumbuli

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’