Yanga yarejea kambini leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Dec 2021
Yanga yarejea kambini leo

Baada ya mapumziko ya siku mbili, kikosi cha Yanga kinarejea kambini leo kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United ambao utapigwa Disemba 26 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wachezaji waliokumbwa na changamoto ya maradhi wamepewa mapumziko zaidi ili kuhakikisha afya zao zinaimarika sawasawa kabla ya kuungana na wenzao

Yanga imedhamiria kuendeleza wimbi la ushindi katika mechi zake za nyumbani ikiwa na rekodi ya ushindi wa asilimia 100%

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’