Katiba mpya ya Yanga toleo la 2021, imetoa mwanya wa uwekezaji kwa 49% ambapo wanachama watabaki na umiliki kwa 51%
Kama Mwanachama na Shabiki wa Yanga ni vyema ukatambua sifa zako, wajibu wako, haki zako, fursa, na manufaa mbali mbali ya kuwa Mwanachama na Shabiki wa Yanga
Ni vyema ukajipatia nakala yako ya Katiba uweze kuyafahamu hayo yote kwa undani zaidi
Kusoma na kuielewa Katiba ni wajibu wa kila Mwanachama na Shabiki wa Yanga. Nakala ya Katiba itapatikana kwa Tsh. 10,000/= tu
Kwa wale watakaotaka kuwa wa kwanza kuipata, mnaweza kuwasiliana na Mkurugenzi wa Sheria Simon Parick
ADVERTISE HERE