Ni rasmi mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra hatakuwepo nchini kwa mwezi Januari mpaka Februari 06 2022 baada ya kujumishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Mali kinachokwenda kushiriki michuano ya Afcon 2021 ambayo inafanyika Cameroon
Yanga imejipanga na kukosekana kwake ikitarajiwa kusajili mlinda lango mwingine ambaye atashirikiana na Erick Johora

ADVERTISE HERE