Kaze kuiongoza Yanga Mapinduzi Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jan 2022
Kaze kuiongoza Yanga Mapinduzi Cup

Wakati Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi akielekea Ubelgiji kwa ajili ya mapumziko ya siku chache, vinara hao wa ligi kuu wanatarajiwa kuondoka wakati wowote kuelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi

Nabi aliondoka nchini jana kwenda Ubelgiji kuona familia baada ya kuwa nchini kwa takribani miezi mitano

Kocha Msaidizi Cedric Kaze ambaye mwaka jana aliiongoza Yanga kutwaa ubingwa wa Mapinduzi, atakuwa na jukumu la kuhakikisha anatetea ubingwa huo

Yanga itashuka dimbani kucheza mchezo wa kwanza siku ya Jumatano, Januari 05 dhidi ya Taifa ya Jan'gombe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’