Nyota wengine kutua Zanzibar Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2022
Nyota wengine kutua Zanzibar Jumapili

Kuelekea mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi dhidi ya Namungo Fc/Azam Fc, wachezaji sita wa Yanga pamoja na kocha Nasreddine Nabi wanatarajiwa kuwasili visiwani Zanzibar kesho, Jumapili kukiongezea nuvu kikosi kuelekea mchezo huo

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Yanga itakuwa na kikosi chake kamili kuanzia hatua ya nusu fainali akiwataja wachezaji hao kuwa ni Khalid Aucho, Fiston Mayele na Saido Ntibazonkiza

Wengine ni Shabani Djuma, Mukoko Tonombe na Yannick Bangala waliokuwa na timu ya Taifa ya DR Congo nchini Misri

Nabi anatarajiwa kuwasili nchini leo akitokea Ubelgiji alikokwenda kwa ajili ya mapumziko ya takribani siku tano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’