Kwa msimu wa pili mfululizo Yanga itakutana na Azam Fc katika mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi, siku ya Jumatatu Januari 10 2022
Ni baada ya Azam Fc kupata ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Yosso na kuongoza kundi A
Utakuwa mchezo wa pili baina ya timu hizo msimu huu, mchezo wa kwanza ukiwa wa ligi kuu ambao Yanga ilishinda mabao 2-0
Mchezo wa pili wa nusu fainali ni kati ya Simba dhidi ya Namungo Fc
ADVERTISE HERE