Uongozi wa Yanga unakaribia kukamilisha mtandao rasmi wa klabu (http://www.yangasc.co.tz), ambapo bidhaa mbalimbali za klabu zitauzwa kupitia mtandao huo.
Kwa wale wanaokumbwa na kadhia ya upatikanaji wa kadi za uanachama wataweza kujisajili kupitia mtandaoni na kuweza kupata kadi zao kwa urahisi.
Hii ni hatua nzuri kwa uongozi wa Yanga kurahisisha upatikanaji wa bidhaa zake kwa mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kongwe zaidi nchini.
Kwa sasa kadi za Yanga zinapatikana kupitia Benki ya Posta.

ADVERTISE HERE