Klabu ya Yanga imethibitisha kuwapeleka wachezaji Kibwana Shomari na Abdallah Shaibu nchini Tunisia kwa ajili ya matibabu
Taarifa iliyotolewa na Yanga mapema leo, imebainisha kuwa wachezaji hao wameambatana na Daktari wa viungo Youssef Mohamed

ADVERTISE HERE