Wakiwa mkoani Tanga kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Mkwakwani, msafara wa Yanga leo ulipata fursa ya kwenda kutembelea Taasisi ya Elimu na Maarifa ya Dini ya Kiislaam MAHAAD SHAMSIL MAARIF ISLAMIYAH iliyopo Duga mkoani Tanga
Ni utamaduni wa Yanga katika kurudisha kwa jamii na kuweza kufanya kilicho bora ili kuleta furaha kwenye maisha ya kila mmoja










ADVERTISE HERE