Waliopo dimba la Mkwakwani wakisubiri kutambulishwa na Yanga ni winga Chico Ushindi aliyetua Yanga akitokea klabu ya TP Mazembe na kocha wa zamani wa makipa klabu ya Simba Milton Nienov
Wananchi sasa mnaweza kuwa na amani kwa ni uhakika, winga mwenye kasi Chico Ushindi ni mchezaji halali wa Yanga!

ADVERTISE HERE