Kikosi cha Yanga kiko mkoani Arusha kikijiandaa na mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Polisi Tanzania ambao utapigwa Jumapili, Januari 23 uwanja wa Ushirika, Moshi
Ikiw sehemu ya maandalizi ya mchezo huo, kesho Yanga itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mbuni Fc utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 20,000/- na 5,000/- wakati Mzunguuko ni Tsh 3,000/-
Mchezo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni
ADVERTISE HERE