Hassani Kessy amezaliwa upya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jan 2018
Hassani Kessy amezaliwa upya
Hassani Ramadhani 'Kessy' ni mmoja wa wachezaji wa kikosi cha Yanga ambao wamenufaika na michuano ya kombe la Mapinduzi iliyomalizika wiki iliyopita visiwani Zanzibar.

Kiwango cha Kessy kimezidi kuimarika, kwani yeye na Haji Mwinyi wamekuwa wakifanya vizuri tangu waanze kupewa nafasi kwenye kikosi cha Yanga badala ya Juma Abdul na Gadiel Michael.

Katika mchezo uliopita dhidi ya Ruvu Shooting, hakuna ubishi kuwa Kessy ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo kwa upande wa kikosi cha Yanga.

Mara kadhaa Kessy alifanya kazi ya ziada kuikoa Yanga isiadhirike.

Kuimarika kiwango kwa beki huyu asiyechoka ni habari njema kwa kikosi cha Yanga ambacho kinakabiliwa na michuano mikubwa barani Afrika kuanzia mwezi ujao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’