Yule ni mwamuzi wa 'mchongo'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Feb 2022
Yule ni mwamuzi wa 'mchongo'

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amewakumbusha wananchi tukio la mwamuzi Ahmada Simba kukataa bao halali la Yanga msimu wa 2016/17 huku akimuonyesha kadi ya njano mshambuliajii Obrey Chirwa na baadae kumtoa nje kwa kadi ya pili ya njano

Bumbuli amesema wanamfahamu vyema mwamuzi huyo na hawashangazwi na tukio alilofanya katika mchezo wa ligi kuu jana kati ya Simba dhidi ya Tanzania Prisons uwanja wa Benjamin Mkapa

Mwamuzi Simba aliizawadia Simba mkwaju wa penati ambao dhahiri shahiri haukuwa halali uamuzi wake akipelekea mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’