Yanga Princess yaifumua Mlandizi Queens 4-0

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Feb 2022
Yanga Princess yaifumua Mlandizi Queens 4-0

Yanga Princess imetakata uwanja wa Mabatini, Ruvu wakiichapa Mlandizi Queens mabao 4-0 katika mchezo muhimu ambao kinadada wa Yanga Princess waliuhitaji sana ushindi huo

Yanga Princess iliyokuwa na wachezaji nane kwenye timu ya Taifa ya U20 iliyokuwa ikisaka nafasi ya kucheza kombe la dunia wakitolewa na Ethiopia kwa kufungwa mabao 2-1, walikuwa na mechi sita za viporo ambazo wanapaswa kushinda zote ili kuweka hai matumaini ya ubingwa

Wapinzani wao Simba Queens wameshinda mechi zao zote 10 na wako kileleni mwa msimamo wa ligi

Mchezo uliopita Yanga Princess ililazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Tiger Queens hivyo ilikuwa muhimu leo kupata ushindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’