Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekemea vikali vitendo vya baadhi ya mashabiki kupigana mashabiki na viongozi wa timu pinzani
Taarifa iliyotolewa na TFF imebainisha kuwa Shirikisho hilo limeanza kukusanya ushahidi kupitia CCTV camera zilizoko viwanjani

ADVERTISE HERE