Yanga Princess imeendelea 'kula viporo' vyake baada ya leo kuichapa Ruvuma Queens mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa mkoani Ruvuma
Clara Lubanga aliweka kambani mabao mawili huku bao la tatu likifungwa na Happynes Mwaipaja
Bado Yanga Princess inaendelea kumkosa mshambuliaji wake kinara Aisha Masaka ambaye ni majeruhi
Yanga Princess imefikisha alama 14 baada ya kushuka dimbani mara saba ikiwa bado na michezo minne ya viporo
ADVERTISE HERE