Ikiwa sehemu ya utamaduni wake msimu huu, timu ya Yanga leo imetembelea kituo cha Watoto wenye Ulemavu wa akili THE SOCIETY OF MEHAYO kilichopo Mazimbu, Manispaa ya Morogoro.
Yanga imetoa misaada mbalimbali ikiwa ni katika kurudisha kwa jamii








ADVERTISE HERE