Kocha msaidizi wa Mwadui FC afariki dunia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2018
Kocha msaidizi wa Mwadui FC afariki dunia
Uongozi wa Mwadui FC umethibitisha kifo cha Kocha wake Msaidizi Jumanne Ntambi ambaye amefariki dunia mjini Shinyanga.

Ntambi ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa Biashara Shinyanga, amefariki katika Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga.

Taarifa zinasema aliugua muda mfupi na alikuwa akisumbuliwa na tatizo la moyo ambalo liligundulika mwishoni mwa mwaka jana.

Tunawapa pole ndugu zetu Mwadui Fc kwa msiba huo walioupata. Mwenye ez Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema,peponi Amen.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’