FT : Yanga 3-0 Kagera Sugar, mwendo mdundo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Feb 2022
FT : Yanga 3-0 Kagera Sugar, mwendo mdundo

Wananchi wanaendelea kuchanja mbuga kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuwafunza soka Kagera Sugar wakiwachapa mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Leo ametetema mara mbili..! Ni Fiston Mayele aliyefunga mabao mawili kwenye dakika ya 30 na 50 huku bao la tatu likiwekwa kambani na Saido Ntibazonkiza kwenye dakika ya 64

Ulikuwa mchezo mzuri kwa Yanga iliyotakata kwa muda mwingi na kuwapoteza kabisa wapinzani wao

Ushindi huo kwa Yanga unamaanisha Wananchi wamefikisha alama 42 sasa wakiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 11

Kwa hakika msimu huu Wananchi wana jambo lao!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’