Baada ya kuwasili jijini Mwanza mapema leo, jioni kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi yake ya kwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold
Mchezo huo utapigwa hapo katika uwanja wa CCM Kirumba

ADVERTISE HERE