Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa kocha bora wa ligi kuu ya NBC mwezi Februari 2022 wakati kiungo mshambuliaji Saido Ntibazonkiza akichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari 2022
Saido ameshinda tuzo hiyo baada ya kuisaidia Yanga kufanya vizuri mwezi Februari akifunga mabao mawili na kutoa pasi za mabao matatu
Mwezi Februari Yanga ilishinda michezo miwili na kutoka sare mchezo mmoja

ADVERTISE HERE