Majeruhi wapungua Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2022
Majeruhi wapungua Yanga

Kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa Jumatano, March 16 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kikosi cha Yanga kimepata ahueni baada ya baadhi ya nyota waliokuwa majeruhi kuanza kurejea kikosini

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema wachezaji Saido Ntibazonkiza, Khalid Aucho, Chrispine Ngushi, Chico Ushindi, Farid Mussa na Kibwana Shomari afya zao zimeimarika na wako tayari kurejea kikosini

Manara amesema kikosi kinaingia kambini leo Avic Town kukamilisha maandalizi ya kuikabili KMC

Katika hatua nyingine, Manara amesema leo kuna jambo kubwa uongozi utaliwasilisha kwa Wananchi katika mkutano na wanahabari ambao utafanyika saa sita mchana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
31m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’