Mchezo dhidi ya KMC wasogezwa mbele

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Mar 2022
Mchezo dhidi ya KMC wasogezwa mbele

Bodi ya Ligi imefanya mabadiliko ya ratiba ambapo mchezo kati ya Yanga dhidi ya KMC uliokuwa upigwe March 16 2022, sasa utapigwa March 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Sababu ya mabadiliko hayo ni kutokana na marekebisho ya miundombinu yanayotarajiwa kufanya kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia tarehe 15-18/03 2022

Aidha Bodi imeahirisha mchezo kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba uliokuwa upigwe March 27 uwanja wa Ushirika Moshi ili kupisha michezo ya kirafiki ya timu ya Taifa ambayo iko kwenye kalenda ya FIFA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’