VPL kuanza Agosti 26

Admin By Admin
β€’
12 Jul 2017
VPL kuanza Agosti 26
Ligi kuu ya soka Tanzania Bara inatarajiwa kuanza Agosti 26 ikiwa ni siku tatu tu baada ya mchezo wa ngao ya Jamii utakaozikutanisha Simba na Yanga, Agosti 23 mwaka huu.

Kwa mujibu wa ratiba ambayo itatolewa wakati wowote na shirikisho la soka nchini (TFF), ligi inatarajiwa kumalizika Mei 20, 2018

Aidha mchezo wa kwanza wa watani wa jadi kwenye ligi umepangwa kupigwa Oktoba 14.

Agosti 27, Yanga, mabingwa watetezi itaanzia kwenye dimba la taifa kuumana na Lipuli, moja ya timu zilizopanda daraja msimu uliopita.

Michezo ya tarehe 26 Agosti 2017;
Ndanda vs Azam Fc
Simba Sc vs Ruvu Shooting
Mwadui Fc vs Singida United
Mtibwa Sugar vs Stand United
Kagera Sugar vs Mbao Fc
Njombe Mji vs Tz Prison
Mbeya City vs Majimaji
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’